Mfumo wa WaloweziTanzania
Hii ni huduma inayomuwezesha muombaji kujaza Fomu ya Maombi ya Kibali cha Walowezi kwa njia ya Kielektroniki akiwa mahali popote. Baada ya kujaza fomu hiyo, atatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vingine katika Ofisi ya Uhamiaji iliyo karibu naye kwa ajili ya kushughulikiwa maombi yake ya Kibali cha Walowezi.
Jaza ombi
Kwa Mwombaji anayeanza kujaza fomu ya maombi ya Kibali cha Walowezi kwa njia ya kielektroniki.
Endeleza Ombi
Kwa Mwombaji ambaye alishajaza fomu ya maombi ya Kibali cha Walowezi na kufikia hatua ya kupatiwa Namba ya Ombi.